No media source currently available
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo amemshutumu Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kwa kutokuwa na uhusiano mzuri wa kikazi na yeye pamoja na kufanya maamuzi ya haraka.