Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 16:38

Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 wamalizika Kinshasa


Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 wamalizika Kinshasa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 umemalizika Jumatano mjini Kinshasa, DRC ambapo zaidi ya mawaziri 60 wa mazingira kutoka nchi mbalimbali walikuwepo kwa siku tatu za majadiliano kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.

Uongozi wa Rais wa Kenya WilliamRuto kuondoa marufuku ya miaka kumi dhidi ya bidhaa za GMO umezua mjadala nchini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG