Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:40

Lilian Ericah ashiriki wiki ya mitindo katika jiji la New York.


Miss Universe Tanzania 2017, Lillian Erica.
Miss Universe Tanzania 2017, Lillian Erica.

Miss Universe Tanzania 2017 Lilian Ericah ambaye alipata nafasi ya kushirikia katika maonyesho ya kimataifa ya New York yajulikanayo kama New York -Fashion week aeleza majukumu yake makubwa ni kuwakilisha taasisi ya TATEDO inayotengeneza umeme kwa kutumia mabaki ya uchafu wa wanyama anbao unasaidia kutunza mazingira.

please wait

No media source currently available

0:00 0:04:03 0:00

Pia mwanamitindo huyo ameeleza kuwa amekutana na wanamaitindo mbalimbali wakubwa ikiwa ni pamoja na wanamitindo maarufu wa nguo duniani.

Kwake binafsi anasema hii ni nafasi ya pekee ya kumpa fursa ya kujulikana na pia kukutana na wanamitindo mbali mbali na kujenga jina lake pamoja na kuitangaza nchi yake ya Tanzania.

Fursa hii ilipatikana anaeleza baada ya kukutana na wanamitindo wakubwa alipowakilisha Tanzania katika michuano ya Miss Universe huko Las Vegas Marekani 2017.

XS
SM
MD
LG