Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:31

Miss Tanzania aelezea mashindano ya Miss World


Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete
Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete

Miss Tanzania 2017 amesema nia yake ni kusaidia watoto na mazingira endapo atachukuwa ushindi katika kinyang'anyiro cha Miss World kinachoendelea huko nchini China.

Mwakilishi huyo wa Tanzania, katika fainali za michuano ya Miss World, Julitha Kabete yuko nchini China kwa mashindano hayo yatakayofikia kilele chake Novemba 18, 2017.

Katika mahojiano na VOA mrembo Julitha anasema mwaka 2017 mambo yako tofauti sana na miaka ya nyuma.

Pamoja na mambo mengine ameelezea mapenzi yake katika kuboresha masuala ya mazingira, akiwa na nia ya kusaidia watu maishani mwake.

XS
SM
MD
LG