Chama cha wafanyakazi kilisema kwamba Madereva wa mabasi makubwa na madogo wamefunga barabara zinazoingia Mbabane na Manzini wakitaka wadhibiti wa serikali kuongeza nauli na mishahara.
Bei rasmi ya petroli ilipanda kwa karibu asilimia sita mwezi uliopita, kufikia dola 1.06 kwa lita ikiwa ni ongezeko la tatu katika miezi sita.
Madereva wanataka serikali kuongeza karibu maradufu ya nauli wanazoweza kutoza, huku pia wakiongeza mishahara yao kutoka lilangeni 1,500 hadi 4,000 kwa mwezi. Msemaji wa chama cha wafanyakazi, Wonder Mkhonza anasewa wakei wananchi wa Eswatini iliyokua ikijulikana kama Swaziland, wanakabiliwa na ughali wa maisha na umaskini Mfalme wao Mswati ameamua kununua ndege mbili kubwa