Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 17:18

Ripoti ya HRW yaonyesha mauaji na ubakaji dhidi ya wakimbizi wa Eritrea


Ripoti ya HRW yaonyesha mauaji na ubakaji dhidi ya wakimbizi wa Eritrea
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:48 0:00

Shirika la Haki za Binadamu - Human Rights Watch, limesema wakimbizi wa Eritrea waliojikuta katika vita vya miezi kadhaa nchini Ethiopia wamekumbwa na unyanyasaji ikiwemo kunyongwa na ubakaji ambavyo ni sawa na uhalifu wa vita.

XS
SM
MD
LG