Wiki hii inayokuja huenda ikabainisha matokeo kwa rais wa Marekani Joe Biden katika juhudi zake za kutaka kuchaguliwa tena, huku wito wa kumtaka kuondoka ukiendelea kuongezeka katika kinyang'anyiro.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari