Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:41

Mwanamuziki wa Kenya Ana Mwalagho azungumzia albam ya watoto


Mwanamuziki wa Kenya Anna Mwalagho alipokuwa kwenye Africa Day Africa Day Washington, May 27, 2016.
Mwanamuziki wa Kenya Anna Mwalagho alipokuwa kwenye Africa Day Africa Day Washington, May 27, 2016.

Lugha ya Kiswahili inaendelea kukua ndani na nje ya bara la Afrika mwanamuziki wa Kenya mwenye makao yake nchini Marekani Anna Mwalagho ametoa Albam ya nyimbo za watoto katika lugha ya Kiswahili na baadhi kitaita na Kighiriyama akieleza kuhusu kupenda utamaduni wake.

Anasema aliandika albam hiyo baada ya kupata mtoto wake wa kwanza na kujikuta akienda madukani anapata nyimbo za Kiingereza tu akisisitiza muacha mila ni mtumwa kwa nini watoto waetu wajifunze Kiingereza wakati si waingereza alisema na kuwahimiza wazazi kwenye diaspora pia na barani Afrika kuwafunza watoto wao lugha yao.

XS
SM
MD
LG