Peru yamwapisha Rais wake wa kwanza mwanamke.
Walus alikuwa ametumikia tayari takriban miaka 30 ya kifungo chake cha maisha na hivi leo ameachiliwa huru kwa masharti magumu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.