Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 03, 2025 Local time: 00:48

Ratiba ya kombe la Afrika kutoka Jumatano


A Syrian army soldier loyal to President Bashar al-Assad points his weapon through piled sandbags at the justice palace in the old city of Aleppo, Feb. 10, 2014.
A Syrian army soldier loyal to President Bashar al-Assad points his weapon through piled sandbags at the justice palace in the old city of Aleppo, Feb. 10, 2014.
Macho yote ya wapenzi wa kandanda wiki hii yatakuwa Afrika Kusini Jumatano October 24 ambapo itafanyika ratiba ya fainali ya kombe la mataifa barani Afrika hapo Januari mwakani.

Ratiba hiyo inayosubiriwa kwa hamu itaamua kila timu itakuwa katika kundi gani kati ya timu 16 ambazo zimefuzu kuingia fainali hizo. Timu hizo ni angola, Algeria, Burkina Faso, Cape Verde, DRC, Morocco, Ethiopia, Mali, Tunisia, Niger, Ghana, Togo, Zambia, Ivory Coast na wenyeji Afrika Kusini.

please wait

No media source currently available

0:00 0:05:01 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Kutoka mjini mwandishi wetu James Shimanyula anaripoti kuwa shirikisho linalosimamia kandanda Afrika Mashariki na Kati CECAFA, lenye makao yake Nairobi, limetangaza kwamba mashindano ya kandanda ya Senior Challenge Cup, yataanza rasmi huko Uganda kuanzia Novemba 24 hadi Desemba 8. Mashindano haya ya kila mwaka yatashirikisha timu 11. James Shimanyula alimuuliza Nicholas Musonye ni katibu mkuu wa CECAFA kutaja majina ya timu zitakazoshiriki, pakiwemo timu ngeni.Na kutoka Dar es salaam mwandishi wetu wa Tanzania, George njogopa, anatuletea ripoti kuhusu ligi ya soka nchini humo.

Na katika habari nyingine za kimataifa mwendesha baiskeli maarufu duniani Lance Armstrong wa Marekani amevuliwa mataji yake yote saba aliyopata katika mbio za Tour de France na shirikisho la mchezo huo duniani. Hatua hiyo inafuatia uchunguzi uliofanywa na chama cha baiskeli cha Marekani ambacho kinasema Armstrong alikuwa akitumia madawa wakati wote anashinda mbio hizo na nyingine za kimataifa. Matokeo yote ya Armstrong tangu august mosi 1998 yamefutwa.
XS
SM
MD
LG