Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 05, 2025 Local time: 04:59

Mjadala juu ya madawa ya kulevya Tanzania.


Waziri wa uchukuzi wa Tanzania Dr. Harisson Mwakyembe.
Waziri wa uchukuzi wa Tanzania Dr. Harisson Mwakyembe.
Katika mjadala wetu tunazungumzia suala la tatizo la biashara haramu ya madawa ya kulevya nchini Tanzania kwa mujibu wa takwimu mbali mbali ni kwamba watanzania wapatao 240 baadhi yao wakiwa wasanii wameshakamatwa katika nchi mbali mbali duniani wakiwa na madawa haya yenye thamani ya mabilioni ya shilingi.

please wait

No media source currently available

0:00 0:20:06 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete ameshaalika baadhi ya waathirika Ikulu akiwamo mmoja wa wasanii maarufu nchini humo Ray C katika juhudi za kupambana na matumizi ya madawa hayo.

Katika mjadala huu tulikuwa mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya nchini Tanzania Godfrey Nzowa , mbunge wa Chadema (viti maalum) mjini magharibi Mariam Msabaha na Meneja wa Trent Recovery nyumba ya kusaidia watu wanaotumia madawa Zanzibar na mtumiaji wa zamani. Abdu Rahman Abdallah. Kusikiliza mahojiano mjadala huo bofya hapa.
XS
SM
MD
LG