No media source currently available
Washukiwa wawili wa kundi la kigaidi la Alshabab wameuwa hii leo katika shambulizi lingine lililofanyikaeneo la Dadaab. Wakenya wanne wamepoteza maisha yao , baadhi ya waliouwawa wakiwa ni watoto.