Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 18, 2024 Local time: 07:38

#BALonVOA2021 : Kishindo cha mchezo wa Msumbiji na Senegal


#BALonVOA2021 : Kishindo cha mchezo wa Msumbiji na Senegal
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:08 0:00

Timu ya Ferroviaro de Maputo imeishinda timu ya Douanesv (Senegal) kwa pointi 88-74 katika siku ya nne ya mchezo wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL).

Kati ya Mei 16 na Mei 30, 2021, Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) imezileta pamoja timu za Kiafrika 12 mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda, zikichuana kwa nafasi ya juu katika mashindano hayo.

Makundi

XS
SM
MD
LG