Rais Biden akamilisha ziara yake Angola na kukutana na viongozi kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden amekamilisha ziara yake nchini Angola na kukutana na marais wa Zambia, DRC na Makamu Rais wa Tanzania.

Namibia yapata Rais wa kwanza mwanamke kufuatia uchaguzi mkuu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari