Marekani imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuacha kabisa kuwaunga mkono waasi wa M23.
Spika wa Bunge la Marekani bado hajachaguliwa, na chama cha Republikan bado hawajafikia makubaliano.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.