Umoja wa Mataifa ambayo iliipitisha siku hii mwaka 2011 kuhamasisha haki za wasichana inasema maista magumu yanayowakabili wasichana yameongezeka kutokana na mzozo wa kiafya wa virusi vya corona katika nyanja za elimu, ndoa za mapema, manyanyaso majumbani na fursa za kiuchumi.
Inakadiriwa wanawake na wasichana milioni 435 ifikapo mwaka ujao wataishi kwa chini yad ola moja na senti 90 kwa siku.